wafarisayo mpaka sasa wapo, ndio hao wanaitwa Rabbi, wako Israel... ndio hao wazayuni , sio sisi. kama hujui uliza. wakati wa enzi za yesu, hakukua na kitu kinaitwa wasabato. wote walifata imani moja, walieenda hekaluni siku ya ibada na wakaabudu. kama unakumbukumbu nzuri , hata mariam alikwepa...