Recent content by Mark ngengele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda mrefu sasa naumwa ila nashindwa kuelewa hasa ninachoumwa

    Unaenda choo kingi kuliko kawaida Tena laini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kwenda chooni mara kwa mara

    Sijatumia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

    Okay
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kwenda chooni mara kwa mara

    Mume, 60kg umri 28 kilo zimepungua,choo laini na brown kingi kuliko kawaida kwanza mafuta haiobsorp
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kwenda chooni mara kwa mara

    Habari ya Leo wana jf? Ninakuwa na tatizo la kwenda chooni Mara kwa Mara nikaamua kwenda hospitali wakanipima stool wakakuta nikona malabsorption inayosababishwa na microorganisms. Walinipa dawa ya secnizole na zengine za minyoo but naona kama hazinisaidii kama kuna dawa nyengine naomba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo linanisumbua sana jameni

    Hapana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

  8. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Natanguliza na salamu na kuwapa pole kwa miangaiko ya siku naomba kujua dawa nzuri ya kutumia absorption ya chakula kwa mwili iko chini sana kama ya mafuta
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo linanisumbua sana jameni

    Nilienda hospitali nikawaelezea wakanipima kisukari ,pressure na maleria wakakuta sina wakanipa pain killers pekee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo linanisumbua sana jameni

    Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu. Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa mwili maumivu ya mishipa ya damu na kichwa inauma upande wa nyuma.
Back
Top Bottom