Recent content by mark-gba

  1. M

    Toyota hiace super custom inauzwa.

    Wakuu, biashara mazungumzo. so kwa aliye interested, mawasiliano yapo hapo chini.
  2. M

    Toyota hiace super custom inauzwa.

    Mchuma unauzwa bei cheee. Ipo ktk hali nzuri sana. Ina sifa zifuatazo: Air conditioned, SRS Airbag, LCD TV, Radio and Dvd Player, Roof top. Condition: In very good condition (regularly serviced), Year: 1998 Engine Capacity: 2RZ Mileage: 263,101 Transmission: Automatic Fuel Type: Petrol BEI...
  3. M

    Toyota Hiace Super Custom Inauzwa

    Mchuma unauzwa bei cheee. Ipo ktk hali nzuri sana. Ina sifa zifuatazo: Air conditioned, SRS Airbag, LCD TV, Radio and Dvd Player, Roof top. Condition: In very good condition (regularly serviced), Year: 1998 Engine Capacity: 2RZ Mileage: 263,101 Transmission: Automatic Fuel...
  4. M

    Nyumba inauzwa - Zenji

    Ahsante. Huko zenji hamkujui vizuri Nikutaarifuni tu Wakaazi wa zenji wenye asili ya bara wana vitambulisho vya mzanzibari na wanapiga kura kama kawa hata wazenji wengine hawavipati. Wamachinga na walinzi wa kimasai mahotelini wanamiliki nyumba na kuzikodisha kwa wenzao.
  5. M

    Nyumba inauzwa - Zenji

    Habari yenu wadau wa jf. Nachukua nafasi hii kukutangazieni kua nyumba inauzwa. SEHEMU: UNGUJA - MWANAKWEREKWE JITIMAI. Planned area/panafikika vizuri kwa gari za aina zote. Karibu na soko kuu na huduma muhimu za kijamii zipo karibu. VYUMBA: Vitano (5) -Kimoja MASTER. KUMBI: NNE (4) - kumbi...
  6. M

    Kwa anayejua Sheria ya Mirathi, Urithi kwa watoto waliochangia mama, yupi mwenye haki?

    very interesting.... kesi ni rahisi baada ya majibu ya masuali haya: 1-Je huyo mama amefariki akiwa bado muislam? 2-Je watoto wake wote 6 ni waislam? Kama majibu ni NDIO, basi watoto wote wanastahili kurithi kwa mujibu wa sheria ya kiislam ya mirathi. Maelezo: -Alichopewa mtoto na mama yake...
  7. M

    nina 4 ya 29 nisaidieni kipi nifanye baada ya matkeo haya

    jamani mm hapa niulize kuhusu udaili vyuoni kwa certificate na diploma: utakuta ktk masharti ya kujiunga lazima dent awe na THREE PRINCIPLE PASSES au 4 na hata 2 baadhi ya vyuo, sasa hii PRINCIPLE PASS ndo zipi, ndio kusema D's. wadau tuelekezane plz
  8. M

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Habari zenu wakuu, Nilikua naomba msaada wa kununua/upatikanaji wa vitu vifuatavyo:- 1-Guta/Toyo (Honda ya maringi matatu) BEI GANI: Mpya na Used? MAHALA: Wapi naweza kuzipata (maduka) katika sehem hizi- Dar na Zenji? 2-Ice cream machine (ya kibiashara) {{km ya apo chini}} BEI GANI: Mpya...
Back
Top Bottom