Mambo yamebadilika, Hulka za baadhi ya walimu wa kike ni tofauti kama njinsi walivyo wanawake wengine na ndio maana ndani ya walimu wa kike wapo single mother wengi inayosababishwa na kushindwa kwenye mahusiano au ndoa
Rejea kichwa cha habari, Mimi ni kijana wa Rika la miaka 38, nilianza kujitambua na wasiwasi kuanzia nipo sekondari, shida kubwa ni namna ya kuzungumza mbele za watu(wasiwasi unakuwa mkubwa), kushindwa kutetea hoja iwapo Kuna mjadala, kuogopa kupiga simu, kuogopa ofisi za umma napokwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.