Habar waalimu,naomba niulize ndani ya uzi wako,Je ,katika account za waalimu za ajira portal,mikoa ipo?Kwangu hakuna mkoa tangu walipoitoa mwanzon,acc.ikawa under maintanance..ilivyorudi hakuna mkoa,kuna MDAs &LGAs tu.
Nauliza ,je wanatoa maswali ya content?Au general tu kutoka kwenye field?Yani inabidi mtu ale module kiaina?Na kama ndyo,hii ni shida mana itabid mtu asome ya mwaka wa kwanza adi finali?
Naomben mwanga wakuu
Acha tu ndug ,nilitoa ushaur ya jinsi ya kuweka wadhamin hapa,mtu akadiriki kuniita mjinga,ilihali hanifaham.Na kuniambia naleta uchama ..kisa nimesema waweke wadhamin wanaotokea mtaa au kata yake,anaweza kuwa mjumbe,mwkit ,mtendaji,diwani,hawa comrades wa chama kama anawafaham,wakuu wa...
Kuna mpaka ma comrades wa chama,ngazi za mtaa,kata,wote wanahusika..yaan chain ni ndefu..ukipita hujuani na mtu ,yan ukipata pesa unakimbiza zaka kanisani..hahha
Mie hata sina hamu kabisa na hizi nafasi ya kufanyiwa mchujo ofisi za mtaa;Mtendaji mtaa ana mtu wake,Mw/kiti,Wale wajumbe wa ofisini,Diwan ana wale wadhamin wake ,wana watoto wao wanamuambia awape kazi,Mabalozi wana watoto wao..
Ktk hyo chain kama huna ukaribu na mmojawapo,hapo hatujaenda...
Hawajataja,ila ..si lazma maoni yangu yafuatwe..Jaribu kufanya upelelezi binafs utagundua hilo.
Na hii si kwa kazi hii tu..yyte..unapoweka refferee ambaye ana fahamika na hyo taasisi inaleta imani...
Nimeona kuna mkuu anasema ameshindwa kuweka dolegumba sababu mdhamini yupo mbali.
Naomba nichangie uzoefu,na wengine pia mchangie..
Kuhusu mdhamini.Kwenye kazi kama hii inayohitaji utambulisho kutoka serikali ya eneo mtu anaishi;
Ni vyema mdhamini akawa kati ya wafuatao;1.Mjumbe
2.Mwenyekit wa...
Unaenda zako ibada ya mkesha,unapiga energy asubuh..huyoo..
Vyuoni napo test zinafanyika Jumamosi,Jumapili.
KAZI NGUMU KUPATA ,KIKUBWA TUOMBE BARAKA ZA MUNGU NA SI KUJIWEKEA MIPAKA.
Nimeona huu uzi nikaufurahia sana,sababu ni leo tu jiran yangu mmoja ,kwa umri ni dada..ana mtoto wake drs la 5,mtundu,au mtukutu japo sijui kutofautisha.
Anaiba nyumban chench chench,akaenda sehem ya biashara mama yake anapofanyia,anaruka ddirisha pia anaiba pesa hata za wengine humo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.