Wamepandishwa mwewe kwenda Lindi kuambulia point moja. Hebu hawa wachezaji wamuonee huruma muwekezaji. Wakati umefika waanze kukatwa mshahara, wao na kocha wao.
Kocha hana first 11 mpaka leo na anachelewa sana kufanya sub. Mugalu ni kama vile kamroga. Hana tija yoyote uwanjani na bado anacheza dkk karibia zote.
Nchi ninayoishi mimi kuna kodi kama 9 hivi kwenye bili ya maji na umeme. Barabara ni nzuri na pesa nyingine huja huko kama misaada. Zikienda kwenye kuchangia maendeleo siyo shida.
Si waamifu kwenye shughuli zao na janja janja nyingi sana. Wanakutajia bei kutokana na muonekano wako. Ukiwa na muonekano wa ki-sure, utabambikwa bei mara tatu ya bei ya kawaida. Madukani kwao wanatabia kama za ki-machinga. Kitu cha elfu mbili kama wewe una muonekano wa ki-sure, unabambikwa elfu...
Acheni ukanjanja. Badilisheni hilo tairi. Msilete U-miky mouse hewani. Mchubuko umevuka hata hizo nyuzi.
Accept responsibility and change the tyre immediately before the unknown happens.
Kocha katuangusha kwa kutomfanyia sub Mugalu. Hakuwa na mchango wwt ndani na ni kawaida yake kufanya mirafu ya hovyo. Stricker anatolewa kwa kucheza rafu ni kichekesho kikubwa. Mshituko wa kadi nyekundu uliwatoa mchezoni na baada ya muda mfupi tu Orlando waliwea kupata goli.
Mkude kuanza kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.