Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi...
Ijumaa nilazima watoto waende shule ,ila ikifika saa sita hadi saa nane wanaenda kuswali ,kwahiyo kama huyo mzeee anawazuiya watoto wasiende shule ijumaa ,watoto wanahesabika kama watoro so mwalimu atakua sahihi,ila pia kama mda wakuabudi ukifika hawapew nafasi yakuswali ,huyo mwalim atakua na...
Kijiji cha kwasekinga kata ya miamba wilaya ya same ,tangu mwaka jana mwezi wa tisa mlileta nguzo na nakuziweka kweny mashimo nakufunga nyaya ,ila hadi leo nikama mradi wakuunganishiwa majumbani imekua ngumu,tukiuliza tunaambiwa mradi ulikuja kisiasa kwajili ya uchaguzi wa serekeli za mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.