Recent content by Marie Curie

  1. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Kuna kaukweli ninarafiki yangu mme wake ni PhD holder huko kwao alikuwa lecturer,sasa kamjoin mkewe imekuwa ngumu kupata kazi ya profession yake,Rafiki yangu tunafanya wote yaani inabidi ampe mmewe mshahara wote,ili mumewe asijifeel vibaya na kukumbuka alivyokuwa Boss kwao,but with all huyu baba...
  2. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Noted,watoto ninao huku,any way sina jinsi ngoja nipack nirudi home.Hapo ndo naamini mwanamke ndo anatakiwa amfuate mme.
  3. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    That is another case,thanks
  4. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Anataka kweli nirudi,Thank God hajanipa option eti kama sitaki basi nibaki
  5. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Nimekupata,Noted
  6. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Ahsante for the words
  7. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    kazi aliyosomea yeye,siyo aje aanze kuwa mlinzi wa H&M,
  8. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Sure,I have to pack and go home.
  9. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    kweli ni changamoto,unajua keki,yaani huku keki na kule keki now I have to choose,I think nirudi home nikaishi na mme wangu,na kujenga taifa pia
  10. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Sio hivyo,yeye hataki kuja maana Tz ana kazi yake ya maana,sasa nami namuunga mkono maana ni kweli akija huku aanze upya kutafuta kazi.
  11. M

    Uchaguzi Mkuu Congo: nani Rais wa halali kati ya Kabila na Tshisekedi?

    Na wewe ndo walewale,ulichotumwa na nani?unashiriki kuiba haki za watu?
  12. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Noted with thanks
  13. M

    Wanandoa kuishi mbalimbali

    Yaani kwa kweli sijui nifanye nini,kasema mke ndo anatakiwa amjoin mme,I have my permit ya kuishi na family,a house.BUT I HAVE TO LEAVE AND GO BACK TO TANZANIA TO STAY WITH MY HUSBAND,Maisha haya jamani
Back
Top Bottom