Recent content by maridady

  1. maridady

    Kafara halina rivasi

    Mkuu hujasiri tunao sisi Asante kwa mafunzo yako.
  2. maridady

    To Mshana Jr

    Hehee
  3. maridady

    To Mshana Jr

    Ndio mkuu nakusaka sana nimefurahi umepatiksna
  4. maridady

    Kile kiapo cha damu hiki hapa

    Nakutafuta mshana
  5. maridady

    To Mshana Jr

    Sawa dada natumahi atanipa
  6. maridady

    To Mshana Jr

    Kama ulipata number yake pia mm nipe ama mshana jr ukiona hii comment yangu pliz nipe number yako kwa dm yangu nimejaribu kuandikia imekataa
  7. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Yaani watu wamejaa uku kufurunga unzii huu? Nani anayelazimishwa kuamini uganga? Changuo ni lako mwenyewe maisha ya wenzio hayakuhusu.
  8. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Usha fika mkuu mtu mzito atakusaidia.
  9. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    ilo ni kweli kabisa mkuu.wachache sana ndio wenye kufungua macho.
  10. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hayo yapeleke kwenye jukwaa la dini mkuu.
  11. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hipi mkuu kwa wale waafrika walio ishi mwanzo kabla ya watu weupe kuja na kuleta dini zao afrika, tukisoma historia walikuwa wanaamini miungu yao ama mizimwi ya kiafrika? na wala hakukuwa na shida nyingi kama leo.hii leo wale waafrika hawakushika hizo dini za watu weupe na wangali wanaamini...
  12. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hayo majibu umeyatoa kwa ustadi na hekima nyingi mtaalamu wetu.
  13. maridady

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hilo mkuu ni kweli kabisa tangu huweke daralasa hili macho yangu yamefunguka kabisa nikafahamu kuwa yapo mengi tusiyo yajua hipo bora kimya unatulia unajuzwa.
Back
Top Bottom