hivi nembo si ni alama ambayo mtu akiiona tu anajua hii imetoka au yahusiana na fulani. sasa diamond ukienda naija haf ukakuta mtu hajui tz ni wapi si unamwambia tu nchi atokayo yule diamond na ukaeleweka. so he s an icon enough kama tu kina minaj chris brown ni icons wa marekani. tena hao...
kina sokoine washapewa hizo icons tena hata sasa wamepewa kina maria nyerere kina magese kidude na wengineo diamond ni icon kwa muziki wa vijana anawakilisha kuwa watz ni jamii yenye vijana wew una mawazo mgando kuwa afanyalo ni kitu kisichoheshimika ila jua tu kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 90...
hawa jamaa, mana si watoto wote wana miaka zaidi ya kumi na nane na wamezidi kifasihi hata wasanii wakubwa wananikumbusha kina mzee njenje kilimanjaro band, matumizi ya mafumbo, lugha ya picha na maneno tata nusu matusi nusu fundisho yani huu ni mziki watz hasa, kina bi kidude waliimba muhogo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.