Recent content by MaRic

  1. MaRic

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kulikatia rufaa ya Jimbo la Segerea?

    Niliumia nimeumia na nitaendelea kuumia kumkosa Mtatiro segerea ila najipa moyo 2020 atachukua jimbo lake
  2. MaRic

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kulikatia rufaa ya Jimbo la Segerea?

    Wana segerea sioni sababu ya kusababisha ukawa ufe, mimi mtatiro nimemuelewa na yule dada alishajitoa mapema, mbaya wetu ni NEC,ambayo inaonyesha waligoma kutoa jina la Anatropia ili kutuvuruga na kwa hili wamefanikiwa
  3. MaRic

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Kwa mnauliza ameongea nini, hata asiposema kitu, akisimama tu yatosha, Tumeshaamua
  4. MaRic

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Ni aibu sana sana na mwaka huu mtanyooka
  5. MaRic

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bw. James Mbatia

    Alalale mbele wewe shigongo hayakuhusu, Tuache wenyewe
  6. MaRic

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Kama chama tawala kilifanya ufunguzi umeme ulikuwepo iweje wenzenu leo mkate? ?? It's not fair na kwa hili mmejishusha sana aibu aibu aibu
  7. MaRic

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Kwa kweli leo nimegundua jamaa hawajiamini kabisa
  8. MaRic

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Poleni sana kwa ambao bado mnaangalia mimi nilishasahau kabisa
  9. MaRic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuweni makini na jimbo la Segerea

    Kweli kama kuna mtu anaweza kufikisha ujumbe uende haraka sana mahanga ni big no segerea hata aje na chama gani hapana hapana hapana kabisa
  10. MaRic

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Hongereni sana Wana cuf kwa kuwa pamoja
  11. MaRic

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    Mmmh tutasikia mengi
  12. MaRic

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Ila Lowassa naye ana nyota yake jamani khaaa
Back
Top Bottom