Habari zenu wadau, mie nilichaguliwa kidato cha tano shule ya machame sasa mzazi wangu amejaribu kunitafutia uhamisho kwenda jagwani kwasababu ya afya yangu[nina pumu]na pia umbali wa shule , sasa ameenda wizarani mara ya tano sasa na kupeleka barua lakini hamna progress yeyote , na huko...
Habari zenu ,ninaomba maelezo kuhusu shule hii ( kama kuna walimu wa kutosha ,mazingira yake ,hostej,ufaulu wa shule) inshort mazuri na mabaya asanteni
Habari! Naomba kwa anaye fahamu shule ya machame girls anieleze kuhusu mazingira yake ya kusoma ipo maeneo yapi na pia contacts zake ikiwezekana , naomba ushauri wenu juu ya kuenda shule hii asante
habari! mie nilikua naomba ufafanuzi juu ya faida ya kuenda kidato cha tano au kuenda chuo ( certificate ) , ipi ni njia nzuri ? maana kunawatu wanatuambia kusoma kidato cha tano ni kupoteza muda bora kuenda 1 kwa 1 chuo kuchukua certificate
habari zenu wadau mie nimwanafunzi niliyemaliza form 4 nakupata div 2 point 19 na combi iliyobalance vizuri ni CBN tatizo nikua mie sijui kuhusu hii combi nikimaanisha huko chuo na ajira zake. pia nilikua naomba mnishauri shule ya serikali inayofaa kusoma combi hii please naomba mnijibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.