Recent content by mariah carey

  1. mariah carey

    Msaada- website ya ajira!!

    jamani naombeni mnisaidie ile website waliyotoa kazi za uhamiaji,naomba mnijibu mapema ili niombe
  2. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    thanx all mlionisapot mana sikuwa najua baadhi ya shipping line thanx mwakitobe
  3. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    Thanx wote mlionipa na nikipata ntawaambia
  4. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    Thanxs mwakitobe mana shipping line nyingine nilikuwa sizifahamu.je naweza nikafanya clearing pia ?
  5. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    sasa zkitangazwa mtaniambia au
  6. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    Nmesomea Shipping and port operations
  7. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    no,nilichosomea kinahusiana na mambo ya bandarini,niambie ntafute wap
  8. mariah carey

    Nafasi za kazi TPA

    Jamani wadau tuambizane wale mlioko mikoani mara tu ajira za TPA zitakapotangazwa
  9. mariah carey

    hellow!!!!

    asanteeeeeeeen!
  10. mariah carey

    hellow!!!!

    Naomba mnipokee,nimevutiwa na mambo ya humu
Back
Top Bottom