Recent content by mariacruz

  1. mariacruz

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Hizo ulizoorodhesha hapo ndio kazi za mmbunge?
  2. mariacruz

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Kwa Mara ya kwanza nimefurahia mdahalo! I wish Tume isingevunjwa ikatoe ufafanuzi kwa wajumbe wa BMK
  3. mariacruz

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Prof anatema cheche!
  4. mariacruz

    JamiiForums Tanzania Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

    Sara ndie aliemwambia mumewe akalale na mjakazi na halikuwa waz la mume, kuhusu kunyanyasa baadae ndo ujue wanadamu tunabadilika kinyonga ana afadhali!
  5. mariacruz

    JamiiForums Tanzania Nape na Mnyika on ITV - 31/7/14 saa moja jioni

    Kwani kazi ya mbunge ni kuleta maji?? Elimu kwa umma inahitajika juu ya majukumu ya wabunge yawe wazi
  6. mariacruz

    JamiiForums Tanzania Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

    Kwani unafiki unauelezeaje? Maana nikiangalia hata mifano ulotoa nashindwa kukuelewa. Abraham alilala na house girl sio kwa kutaka Bali mkewe alimpA ruhusa sasa unafiki unatoka wapi apo? Otherwise unafiki upo tuu hata bila ya ndoa na ukifanya reference ya bible neno la Mungu halipingiki NDOA NA...
Back
Top Bottom