Recent content by Maria Serenza

  1. Maria Serenza

    Uchaguzi wa viongozi BAVICHA taifa kufanyika tarehe 10 Septemba, 2014

    Hongera zenu viongozi mnaondoka madarakani kwa kazi nzuri mliyoifanyia chama chenu. Hongera za pekee kwa mwanadada Ester Daffi kwa kuwa sehemu ya mafanikio ya baraza lenu. Muendelee kupigania demokrasia na maendeleo kwa vijana hata mkiwa nje ya BAVICHA
  2. Maria Serenza

    Kikwete alegeza msimamo juu ya serikali tatu ktk Katiba Mpya?

    Ni wapi duniani umma ulishashindwa mbele ya watawala? Ni kutokuwatendea haki wananchi kusema eti rais aonekana kulegeza msimamo. Wananchi ndio wanaoweza kulegeza msimamamo ama la. Rais alegeze asilegeze umma unasonga mbele. Ndio utawala wa kidemokrasia huo.
  3. Maria Serenza

    Arusha wamenufaika na lipi tokea wamchague Lema kuwa mbunge?

    Hivi wanaarusha walinufaika na nini walipokua wameikumbatia CCM kwa kipindi chote kile kabla Lema hajaja?
  4. Maria Serenza

    Toa Maoni: Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa ni September 2014. Nani unataka atuongoze?

    Timu iliyoko inatosha kabisa kwa CHADEMA. Mapengo tu ndio yatafutiwe watu mahiri wa kuyaziba. Ningependa kumuana mwanadada HALIMA MDEE anakua naibu katibu mkuu wa CHADEMA kuziba nafasi ya ZITTO Kabwe Hayo ndio maoni yangu
  5. Maria Serenza

    Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    Afya dhaifu sana. Hawezi kuhimili mikikimikiki ya ikulu.
  6. Maria Serenza

    Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

    Nikijaribu kumuelewa baba askofu mstaafu nadhani alitaka kumaanisha kuwa hatutaongozwa na wasio na akili.
  7. Maria Serenza

    Kimenuka: Bundi wa mgogoro atua chama cha ACT-Tanzania, sasa wawa vipande vipande

    Duh, kweli siasa mchezo na ufanikiwe sharti ujue mbinu za mchezo huo
  8. Maria Serenza

    Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

    Urais si lelemama jamani
Back
Top Bottom