Hi, jamani naombeni maelezo kdg.mimi nmepimia Corona kgm town hospital ya mkoa vipimo huwa vinasafirishwa maabara ya taifa.na nimelipia 40 nikatumiwa conton no.na maabara ya taifa nikalipia nikapimwa Sasa nshu nikwamba majbu unapewa maada ya masaa 72 yaan cku tatu.ila Mimi siku ya tatu ilikuwa...
Habari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule? ....msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili.
Hi, mimi nimgeni humu.nahitaji kwenda Uganda kibiashara naomba mnisaidie maelezo kdg na pia najitaji kujua kuhusu boda ya mtukula ipo wazi au Mana napanda kesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.