Recent content by maria kelly

  1. M

    LAPF acheni ubabaishaji na usanii kwenye ajira zenu

    Pensions fund sins hamu nao tena ,ß
  2. M

    PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    Kaka pole ht mm nilifika mpaka oral nimepigwa chin ...hao PPF wana watu wao kusumbua tu....hii ishu ipo cku itawapalia km UHAMIAJI
  3. M

    Interview PPF

    Nackia ht waloitwa wametumiwa ......hao watu bado
  4. M

    PPF Liason interview

    Mhh PPF kn tatizo kiukweli unaeza kugharamia for nothing
  5. M

    Interview PPF

    Contributions trainee wameitwa wameripot leo....
  6. M

    Interview PPF

    Aisee paper zao cjui zinapima uelewa au nn zinakua tight kiac but cjajua hii mtakayofanya itakuaje.....ukipita hapo oral inakua poa sana nilifanya ya operations trainee for zonal
  7. M

    Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Daah katudanganya....nimesoma Uchumi chuo na nilisoma EGM advance huwez soma kiswahili ukawa na bachelor ya Uchumi kwa hapo sio saw a..HGE na ECA wanafanya pia degree ya Uchumi.....jipange Dada Uchumi mgumu kiac chake
  8. M

    Interview PPF

    Operations wameitwa kaxin??? Coz contributions trainees wameitwa PPF Leo
  9. M

    Interview PPF

    Assessment bado inaendelea baada ya oral interview ....Jana walifanyiwa assessment watu wa contributions ndo nkauliza wameuliza nn?
  10. M

    Interview PPF

    Jaman kwa waliopigiwa PPF position ya contributions trainee tujulishane wanataka nn hasa ...operations trainee hatujapigiw bado
  11. M

    Interview PPF

    Busy jaman kaz za watu zinabana
  12. M

    Interview PPF

    Jaman bado hawajaita kazin till now..but oral interview ilishafanyika 10/7/2015 kwa nafas zote pale PPF house floor 11
  13. M

    Interview PPF

    Na nafasi ya operations trainee tulifanya oral the same date 10/07/2015 ijumaa saa nane mchn
Back
Top Bottom