Recent content by Marcus Kabwella

  1. M

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Askari mgambo auawa kwa kupigwa risasi

    Waongo nyie ni wachochezi kwani hakuna habari za maendeleo mkatuma? IGP ameshasema matokeo hayo yatakuwa historia Kibiti sasa hata mwezi bado kulikoni?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa sukari: Bodi ya sukari kuagiza bidhaa hiyo toka nchi za nje

    Uchochezi huo sukari nyingi tu:-!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Clouds ni radio ya watu, wafanye nini wamevamiwa na kuzua taharuki kwa watu maana yake wangerusha kinyume cha maadili? Mungu yupo ipo siku atatenda kwa ukarimu kwa watu wake
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ashauri Makonda ashitakiwe kwa kuvamia kituo cha Clouds

    Lakini waamiliki wa vyombo habari vimejipendekeza mno kiasi kwamba wanapuuza sauti za wana harakati kupitia vyama vya upinzani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakubali kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia upungufu wa Madaktari

    Na watanzania wakigoma tunawarudisha eti? Sasa Kenya imekataa kuwalipa wazawa itaweza kwa wageni? Akili tope hiyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Kuzaliwa kabla ya Ndoa: Rais Magufuli ALIFUTA agizo la Waziri Mwakyembe

    Angeipitishia kwa Makonda ingepita
Back
Top Bottom