Recent content by marcp

  1. M

    Kusini tunajiandaa kutoa matamko makali dhidi ya ukimya wa Dr Slaa na Mh Mbowe

    bado mawazo yako ya mabadiliko unataka kuyaona moja moja!mererani ni sehemu ya production tu na hata huko unakosema ni production areas,development iko where people leaves!nani kakuambia cjafika mtwara hata sasa niko K.Masoko hapa.CYO KWELI MSIFICHE UBINAFSI WENU IN THE NAME OF OTHER...
  2. M

    Shibuda ni mpinzani?

    duh!kazi kweli kweli!kidumu CDM Matabaka!
  3. M

    Upotoshaji Mwananchi: CHADEMA sasa waanza kulipuana!

    duh!kazi kweli!huree gazeti la chama!mko juu!
  4. M

    Shibuda ni mpinzani?

    duh!kazi kweli kweli!ukweli mzee,its like a sword!badala ya kujibu hoja mnatoa kashifa or mara makapi or mara masalia!u wont get far brother with the vision of ur part!badilisheni mbinu mkubwa!
  5. M

    Barua ya Kumfukuza Juliana Shonza na aibu kwa BAVICHA

    jamani kama ni Tuhuma tu then hana Sifa ya kufukuzwa uanachama! thibitisheni kwanza tuhuma ndo mumfukuze!Ama Shoza ana TISHIA MASLAHI YA WAKUBWA WA CDM NINI? Ila kwenye mtiriko wa makosa kwenye barua kama vile kapoint ka Shoza ka UKANDA kanaukweli hivi!
  6. M

    Upotoshaji Mwananchi: CHADEMA sasa waanza kulipuana!

    so gazeti ni T.Daima tu kwakuwa la CDM ama?
  7. M

    Upotoshaji Mwananchi: CHADEMA sasa waanza kulipuana!

    unalisisua kwa sababu limegusa interest yako!? huo ni uzandiki!
  8. M

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    mmmh!kaka kubali hata kama not in your favor! si issue ya moderator kuzuia threads!let him produce the evidence! Tuache ushabiki wa interest zetu,zikiguswa tunataharuki!tutafute ukweli hata kama unauma!
  9. M

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    duh!kakupika nini! mboma kama logic za kutengeneza vile?
  10. M

    Shibuda ni mpinzani?

    kwa hiyo mtu akiwa msema kweli anakuwa adui?
  11. M

    Upotoshaji wa Juliana Shonza na kundi lake kwa vyombo vya habari...

    duh!kazi ipo!mbona kama story imepikwa vile!
  12. M

    Misungwi: Diwani wa CCM jela miezi sita

    wewe ndo umesema!mungu unamjua wewe!
  13. M

    Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    hakuna mantiki hapa!ukweli unabaki kuwa ukweli!CDM mjitazame!
  14. M

    Kusini tunajiandaa kutoa matamko makali dhidi ya ukimya wa Dr Slaa na Mh Mbowe

    kweli umefilicka kimawazo!ubinafsi umekutawala!ni miaka mingapi,walim na madaktari wakusini wanalipwa kwa kodi za watu wa dar na migodi ya kahama,mwadui,mererani na na geita? UBINAFSI WA WATU WA KUSINI UMEWAPIGA UPOFU!
Back
Top Bottom