Recent content by MarcopoloSafari

  1. MarcopoloSafari

    Commission ya biashara ya wakala

    Mkuu kwa sasa uwakala ni unyonyaji achana na hiyo biashara. Bora uanze kuuza accessoires. Mtaji wa laki tano utazaa hiyofaida ya laki 2
  2. MarcopoloSafari

    Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Mbona hivi ni used? Vilitengenezwa miaka ya 1994 ni vikaja kuuzwa kama used kwa Euro 15,000. Nyie TRC mmevinunua kwa bei gani? Maana hata sasa havitengenezwi tena na spare zake hamna! Tunategemea mtuletee Train bora na za kisasa ili kukuza Utalii, msije kumwangusha Mama, hii dhambi haita...
  3. MarcopoloSafari

    Zuio la magari ya kigeni kupakia mizigo ya Transit inayoenda nchi tofauti na ilikosajiliwa

    Hapa wamelengwa Watanzania wale waliokimbia na kusajili gari zao nchi jirani 😂🤣 Mrudi nyumbani sasa
Back
Top Bottom