Huu uzi ni dhahabu kwa watanzania kama utafanyiwa kazi ...........
Kwa Tanzania kuna uwekezaji wa pamoja kama UTT AMIS , FAIDA FUND, INUKA FUND , M-WEKEZA etc ambayo riba yake kwa mwaka ni walau asilimia 12 ba kuendelea sasa kwanini mifuko ya jamii kama NSSF na PSSF wasiwekeze pesa za...
Unaweza kumpa utamu na ukaolewa na usimpe na usiolewe,
All in all mapenzi hayana formula, kwani wew huna ugwadu money penny mbless mwana utamu bhana kikubwa mpime ili uwe salama na yeye awe salama[emoji38][emoji38]
Mimi mwanamke akininyima utamu nayeyuka MITA 80000
Bado Niko 20s lakini naamini ndoa ni baraka
Kununua mbususu Kuna risk zake lakn pia kama mwanamke mnapendana nadhani Bora kuoa kuliko kununua mbususu maan ya kununua siyo ya kudumu,
Lakini hata hivyo kupamban kutafta hela ni muhimu ili likitokea la kutokea ulee watoto wako na usipate shida...
Mkuu Bora uoe tu kama suala ni hela na mwanamke amekukubali toa nusu pengine mke ni baraka ukaoa Kuna faida nyingi za mke kuliko hasara maana 46 is enough kwa wewe kuoa,
Gawa hiyo hela kwa mwaka hata miaka miwili mke ni wako utatoa mdogo mdogo huku kilimo kinaendelea na mambo mengine, nadhani...
Hapo kwenye kulinda afya yako nakuunga mkono, tujitahidi tulinde afya ili ukiwa na 50's na kuendelea uone utamu wa maisha kuliko kuanza route za hospital mengine Mungu atulinde ila tuweke jitihada katika ulaji, mazoezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.