Sasa tunaweza kudai posthumously jamaa alikuwa na uhusiano gani na Rais au ni nini kilikuwa kinampeleka ikulu mara kwa mara. Tungeanza na chief secretary atupe maelezo. La sivyo nategemea wabunge wetu watatuongoza kutengeneza mwongozo wa wageni wa Presidency (kama haupo).
Presidency not president
Hivi kama mtu ni rafiki wa Presidency si automatically anakuwa rafiki wa wananchi, ama? Sababu kama angekuwa ni personal friend wangekutana kwenye nyumba ya rais na siyo ikulu.
Mbona huo ndio ukweli! Sasa kama viongozi wanafanya ugaidi kwa wananchi na vyombo vya ulinzi vinashika watu wasiyo na hatia na kuwaita magaidi unafikiri hatima yake ni nini?
Yule ndio mwalimu wa walimu kwa Tanzania. Uliza jamaa wa serikali wakuambie. Wewe kutokuwa na profession yoyote na kuwa na chuki naye haiondoi utaalamu wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.