Recent content by mapozzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulevi Unaninyima Amani. Ninaomba Msaada wenu

    Mpe Yesu maisha yako, yeye anao uwezo wa kuondoa kiu ya pombe iliyopo ndani yako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Risiti vinauzwa bei gani?

    Sawa mkuu, ninaweza kukusaidia kuvipata
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Risiti vinauzwa bei gani?

    Ndio mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Risiti vinauzwa bei gani?

    Mkuu nenda kariakoo, makutano ya barabara ya uhuru na congo, unaingia hapo kama unaenda gerezani, vuka mtaa wa Kipata, nenda mbele vuka mtaa wa Lindi, kulia kwako kuna frem zimejipanga, ulizia wanaotengeneza vitabu vya risiti utakuwa umewapata
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata vifungashio (take away) vigumu vya juice?

    Nenda kariakoo mtaa wa Tandamti, kuna maduka wanauza hizo takeaway glass za aina mbalimbali
  6. M

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zinauzwa

    Belo zimetoka China, unaweza ukaja kuangalia sample ili kuhakiki kama ni mpya
  7. M

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zinauzwa

    Ni special boss, hata ukihitaji piece 1000 ya aina moja unapata
  8. M

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zinauzwa

    Ni special boss
  9. M

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zinauzwa

    Ni special boss
  10. M

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zinauzwa

    Ni special boss
  11. M

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zinauzwa

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 TSHIRT MPYA KUTOKA CHINA ZINAUZWA KWA BEI YA JUMLA ZIPO SIZE MBALIMBALI KUANZIA PIECE 100 Tsh 3,400 UKIWA NA Tsh 340,000 UNAPATA BANDO LA TSHIRTS. UKIHITAJI PIECE ZAIDI YA 1000 UNAPATA TUPO DAR ES SALAAM MTAA WA AGGREY KARIBU NA KITUMBINI UNAWEZA UKAFIKA MWENYEWE AU UKATUMA MTU...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK, Canada, dubai au china

    Mkuu, kuna mtu ameleta mabalo ya T-shirts mpya kutoka China, anauza kwa jumla. Minimum order piece 100, bei ya piece 1 Tsh 3,400. Kwa hiyo kwa Tsh 340,000 unapata piece 100. Ukitaka piece nyingi zaidi unapata. Store ipo Dar. Kwa mawasiliano, nitumie msg pm. Karibu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Mkuu ninaomba unielekeze picha umeattach wapi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: JOB SEEKER Gender: FEMALE Profession: ECONOMIST & SOCIAL WORKER Experience: PROJECT OFFICER FOR 3YEARS, ASSISTANT RESEARCHER, OFFICE COORDINATOR Education level: BA ECONOMICS & SOCIOLOGY Location: DAR ES SALAAM
Back
Top Bottom