Recent content by MAPOUDA

  1. MAPOUDA

    Nina shida ya mkopo m 3.5

    Kuna watu ukichukua pesa kwao hurudishi utahangaika nayo mpaka riba itafikia gharama ya nyumba wanasepa na kijiji
  2. MAPOUDA

    Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

    Usije ukamuacha mumeo Kwa ajili ya huyo jamaa SI kila rafiki ni rafiki huyo rafiki yake mumeo hafai kabisa na s mtu mwema na kitaalamu tunasema kamshika nyota mumeo yaani mumeo kainamishwa kichwa chini tumia njian mbadala za kumfanya mumeo amchukie huyo jamaa SI mwema katika ustawi wa ndoa yenu
  3. MAPOUDA

    Natafuta Mwenza

    Sasa kama huko mtaani hawaon au kishatumika sana
  4. MAPOUDA

    Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Nilishafanya huo upumbavu wa kuchepuka alafu mwisho wa siku sijaona faida Nina Mwaka wa 3 sasa hivi sijui mwanamke wa nje na Wala siwaz kabisa nilishamwambia mke wangu nikimfuma nadhani itakuwa nafas ya yeye kwenda Kwa ngayi kimazingara
  5. MAPOUDA

    Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Acha upumbavu huo hautokusaidia Zaid utu wako utapotea hakuna mwanaume malaya bali Kuna mwanamke malaya
  6. MAPOUDA

    Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

    Bora upate mwanamke dizain hii kuliko upate yule mkimya atakupiga matukio mpaka uchanganyikiwe kabisa
  7. MAPOUDA

    Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

    Ukiwakosa wote ni pm tutumize yalio andikwa katika vitabu vya Mungu tuwastir wanawake walio achika,waliofiwa na wamezao Ili wasiwe wapweke na wasifanye uzinifu Kwa uwezo wa Allah na mtume Muhammad bas hili Jimbo ni la kwangu naiman familia Bora huongozwa na mwanaume aliesimama imara katika...
  8. MAPOUDA

    Natafuta Mume

    Njoo pm kwangu upate hitaji la moyo wako
  9. MAPOUDA

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Katika harakati zangu zote za kubanjuka sijawahi banjuka na mwanamke asie na mtoto na sijui kwanini Kwa Mungu ananipitisha katika hili na nilie muoa nae ni singo Maza ana nipenda kushinda anavyompenda mwanae ila huyu singo Maza ni package ya mwanamke ambae hutamani kuwa nae mbali Mungu...
  10. MAPOUDA

    Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

    Vile ambavyo anaishi na mume wew ndio mtoto wake ataish na wew yaani Yale mapenz,utu,maelewano hii point Huwa naiyelewaga sana yaaani hata nilie nae sipat nae tabu yaani napita Kule Kule
  11. MAPOUDA

    Watu kuachana siyo dhambi, talaka siyo dhambi

    Mapenz matamu sana kuishi Kwa stress ni kujitakia tu
  12. MAPOUDA

    Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    Nilishamwagiaga mke wangu nimeacha wote nimekuoa wew kwako ni mwaminifu Sina mchepuko wowote siku nikikufuma hapo hapo red card Mimi sigegedi nje kwanini ugegedwe nje
  13. MAPOUDA

    Unajisikiaje mke au mpenzi anapokwambia nitakuja kukuacha niondoke/tutaachana?

    Hii ilishanikuta nilipo chokonoa kibabe nikakuta Kuna mwamba Yuko nje ya nchi anafukuzia kitambo sana kabla yangu.
Back
Top Bottom