Recent content by mapishimigu

  1. M

    UKAWA kumekucha sasa njia nyeupeee

    itakua kuanzia saa ngapi mkuu
  2. M

    UKAWA kumekucha sasa njia nyeupeee

    inatakiwa wakati ukawa wanamtangaza mgombea wao wawe live kweny tv ili wote tuone na tumsikilize mgombea kama ilivyo kua kwa ccm
  3. M

    Ushauri kwa UKAWA, njia pekee ya kuitoa CCM madarakani

    Kwanza niwapongeze ukawa kwa hatua nzuri waliyofikia ya kuungana na kuwa wamoja. Nimefarijika na hatua hii kwani ni wakati muafaka wa kuanza kuwashughulikia mafisadi wote.. Ninachowaomba Ukawa ni kwamba wanapofanya mikutano kuelezea watu kupigia kura ya hapana katiba pendekezwa ya mafisadi...
  4. M

    Serikali ya Ukawa ikiingia Mdarakani Hazina kweupe

    mkuu mgoroko...hata binadamu ni wanyama pia!...usipaniki moto wa ukawa ukuunguze.
  5. M

    Nilichojifunza toka BMK

    Wapinzani (Ukawa) unganisheni nguvu zenu kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mnashinda nafasi ya urais ili rasimu ya warioba irudi katika mjadala ..vingnevyo kilichopatikana leo kule bungeni kwa akina 6 ni haramu na wanaonesha hawana mapenzi mema na sisi raia wa hali ya chini..
  6. M

    Hakuna cha Lowassa wala Membe, mwakani rais ni kutoka UKAWA

    Kitu ambacho naona UKAWA watakifanya ni kuweka mgombea mmoja wa CUF zanzibar na mgombea mmoja bara kupitia chadema...haitawezekana cuf watoe wagombea urais wawili toka zenji na bara wakatI chadema wasiweke wagombea.
  7. M

    Wabunge 40 wa CHADEMA kutua Kalenga kuongeza nguvu

    something is wrong with yu!
  8. M

    Wabunge 40 wa CHADEMA kutua Kalenga kuongeza nguvu

    twendeni makamanda tukapachimbe...lazma maccm wakae tu na propaganda zao chafu..na mwakani mtakiona cha moto from chadema.
  9. M

    Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

    mwenyewe nilijua jamaa wamepika story! magamba wanakazi kweli kweli
  10. M

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    dah! nchembaaa...unakimbiwa mkuu..hamia cdm kwan mtu ingekua nyomi hapo.
  11. M

    Kada maarufu CCM mbeya atimkia CHADEMA!

    ndagha nyambala! uwombile kanunu..karibu sana:clap2::clap2::clap2::clap2:
  12. M

    JWTZ lawakamata watu wanne kwa kushangilia Mdahalo huko Mtwara!!

    jeshi letu limepoteza mwelekeo kwan huko si kulinda amani bali ni kuvuruga..
  13. M

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    hawezi kukubali huyo
Back
Top Bottom