Kumbuka kwamba ata TANU WALIKUA WANAOMBA MICHANGO YA WANANCHI ILI KUENDELEZA HARAKATI ZA UKOMBOZI, CDM NI KAMA TANU .IMEDHAMILIA KUWAKOMBOA WANANCHI KUTOKA KWA MKOLONI CCM.
jipange kamanda! Kugombea ubunge cdm ni kaz ngum, fanya kaz ili watu wakujue, ingia mtaani na sio mitandaoni, shirik harakat za m4c kikamilifu, elimisha jamii, GUUD IDEA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.