Recent content by MAPENZI UPOFU

  1. M

    JamiiForums Tanzania TRA Posts........

    yap, interview ni tarehe 4 msimbazi centre mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Data entry, havard university

    Habara wanajukwaa, naomba kama kuna mwenye updates za kazi za hawa jamaa walizotangaza hv juzi juzi kama wameshaita au bado. nimeshafanya nao interview na wakanijibu kuwa watatuita soon bt kimya kingi sana... naomba mnijuze wandugu regards
  3. M

    JamiiForums Tanzania Data entry: Harvard university tz.

    Wana jf hawa jamaa walitoa nafasi ya kazi data entry nikaapply via email, wamenijibu kama hivi; Dear Applicant: Thank you for submitting an application for the data entry position with researchers from Harvard University! I am pleased to notify you that you have been shortlisted for the second...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Udom: Call for an interview, academic posts

    Wana JF, nimeckia kuna watu wameshaanza kuitwa kwenye interview udom, naomba kujua ni watu wa post gani na ni lini labda wataanza kuita watu walioapply Academic posts coz mimi ni miongoni mwa watu waloomba T.A... naomba kupata taarifa kuhusu hzo post coz website yao iko down. asanteni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barack Obama defeats Mitt Romney and wins a second term as President of the United States

    kwa mbinde sana hatimaye Obama the handsome kaukwaa uraisi wa marekani kwa kipindi kingine cha 4yrs, God bless Obama God bless America
  6. M

    JamiiForums Tanzania nijulisheni

    dah pole sana mkuu, kama huna cheti usiingie hasara ya stationary itaishia kwny dampo
  7. M

    JamiiForums Tanzania UDOM.....updates info..!

    kwa tetesi za karibu ni kwamba wapo katka hatua za mwisho by nxt week mambo yanaweza kuwa hadharani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Access bank recruitment

    wadau ninashukuru sana kwa michango yenu na nitaifanyia kazi mara moja, currently napiga project flan na CRDB bank bt nitajtahid nitenge muda kufanyia kazi haya yote mloniambia, tuko pa1 sana with regards.....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Access bank recruitment

    walitoa tangazo kuwa wanafungua tawi jipya mkoani Mwanza so wanataka watu ambao wanasifa hzo moja wapo awe na 1st class or upper 2nd barchelor degree watume CV tu hawakuspecify positions, simu nimepigiwa juzi alhamis mchana na wameniambia ni oral interview ndani ya CBE Mwanza. me nimesoma Ba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Access bank recruitment

    Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea kuuliza na jinsi interview zao zilivyo coz hii ndo interview yangu ya kwanza tangu nimemaliza chuo...
Back
Top Bottom