Naam ashukuriwe sana mwenyezi Mungu na watiwe nguvu wote wanao omba kwa Mungu hali iwe kawaida.
Ila upande wa serikali wamevumisha sana pengine kuliko kawaida, nadhani ulimsikia yule alie sema itanyesha mvua ambayo haijawahi kutokea mvua ya namna hio miaka 500 iliopita!
Sasa kwa muktadha huo...
Kumbe walisema kunzia septemba?
Sasa tuko octoba 3 dalili bado hazijajitokeza!
Hatukatai uwepo wa hizo mvua ila zinaweza kuwa si mvua kubwa kama wanavyo tabiri
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.