Wale matajiri na wanasisa waliomiliki shares nyingi za Vodacom kipindi cha ujinga ujinga wetu pamoja na Shiva kama wamehamia Nairobi unategemea nini? Unaijua remote wewe?
Unaweza kuwa na uwezo wa kubuni mbinu za ukusanyaji na zikaonekana kero kwa wananchi. Msingi wa kodi zilizo stable kwa Halmashauri zetu ni Ardhi, vitu visivyo hamishika na wananchi wenyewe. Hivyo stable taxes ni kodi ya Ardhi ambayo kwa sasa inakusanywa na serikali kuu na Halmashauri kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.