Recent content by Mapand

  1. Mapand

    Mbeya is Awesome. Hata kwenu pia ni kuzuri, kusifie huku ukisindikiza na picha za chombeza

    -Kulia kwa hii road ni shule ya sekondari lufilyo -nyuma kidogo kushoto nyumambani kwa prof.mark. -ukienda mbele kidogo kuna mto ukivuka kuna kijiji cha lufilyo. kokoa,maembe,parachichi,ndizi na vyakula vya kila aina vipo hapo. Hali ya hewa nzuri pia. Natamani kama umri ungekuwa unarudi nyuma...
  2. Mapand

    Moshi: Wananchi waotesha migomba kwenye barabara ambayo waliahidiwa ingewekwa lami ila hadi leo kimya

    Hakuna kitu kibaya kama pombe hapa duniani. Imepoteza watu wengi sana
  3. Mapand

    Masikini wana muda mwingi wa kuongea kuliko watu wenye pesa

    Yaani nikose hela,na kuongea nako nishindwe? Kuwa serious ase.
  4. Mapand

    Chakula kikubwa cha vijana kwasasa ni Maandazi au Halfcake na Energy

    Mihogo at least nguvu kuliko chapati
  5. Mapand

    Chakula kikubwa cha vijana kwasasa ni Maandazi au Halfcake na Energy

    Kuna mahali hapa mtaani kwetu jamaa wanachoma chapati usiku tu,ase hiyo foleni ya wateja mpaka unajiuliza usiku mtu ananunua chapati za nini? Na wateja wengi ni vijana.
  6. Mapand

    Morogoro: Bodaboda wawili wafariki dunia kwa kugongwa na Lori

    Mbona wakibeba chips kuku tunasema wameagizwa?
  7. Mapand

    Inashangaza sana, mtu unaishi Dar es Salaam huna gari!

    Alafu wewe 👉paka huwa nakusoma tu 😹😹unavogombaniaga daladala baada ya mizunguko yako pale k/koo
  8. Mapand

    Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

    Sasa paka ni tusi? Anyway kwasababu aliyeandika uzi moja kwa moja ni raia kwahyo ni haki yako kushauri usichokijua
  9. Mapand

    Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Umekurupuka! Kwahyo sisi watanzania hawahawa tutalazimika kuwa na pesa kwenye sim ndyo tununue huduma? Mtanzania gani anapenda usumbufu huo? Kama inashindikana kwenye EFD machines basi watanzania tutaendelea kulalamikia TRA wananyanyasa wafanyabiashara kila siku bila kujua wafanyabiashara...
  10. Mapand

    Mtanzania adai kuteswa Iraq, alienda kufanya kazi

    Iraq kufanya kazi? Kwani yeye ni askari kwamba alienda kwenye mission? Yaani unaiacha Tanzania na utamu wake unaenda Iraq kufanya kazi?
  11. Mapand

    Namsaidiaje mtu anayepatwa na hii hali

    Kuna dada mmoja nilipata kusoma nae na ana tatizo hilo alikuwa anatembea na kile kidude kinaitwa inhaler,sasa walimwengu bwana tulikuwa tukimwona nacho tulikuwa tunahisi anafanya show off;kwasababu kama tunavyojua kipindi cha miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na magonjwa ya wenye hela ikiwemo pumu...
  12. Mapand

    DAWASA kuzima mtambo wa Ruvu Juu kwa ajili ya matengenezo Januari 11, 2023

    Matengenezo yatadum kwa muda gani? Taarifa tafadhali
  13. Mapand

    Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

    Hao wa marketing wa hiyo kampuni bosi awapatie mkataba wa kudum kabisa,haka kasungura kamefika kila kona ya hii Tanzania
  14. Mapand

    Wazawa wa Dar es Salaam ni wajanja wa mjini kuliko wa mikoani

    Hyo ndyo point. Lakini hujanishawishi hayo mengine,yaani hawa hawa bodaboda ndyo wanichanganye mimi
Back
Top Bottom