Recent content by Maotora

  1. Maotora

    E-commerce project

    Nadhani, well, inategemea. COSTECH kwa ufaham wangu mdogo huwa kuna siku za majukwaa na nafasi nyingi za kwenda kuelezea wazo lako mbele ya watu wanaoweza kukusupport financially au kwa kukupa team au uwezo wa kupiga hatua moja katika kuifanikisha hiyo project. Huwa kuna investors na vichwa...
  2. Maotora

    DRC: Kambi ya wanajeshi wa Tanzania na Malawi yavamiwa na kuchomwa moto, raia wanne wauawa

    Kwa maelezo kidogo tuu ndio RPG rocket wanayoongeela.
  3. Maotora

    E-commerce project

    Nadhani kunasehemu kama COSTECH ambazo unaweza kwenda ukaelezea Idea yako na implementation kama ipo ukaonesha. Hiyo itakusaidia kuelezea wazo sehemu nzuri lasiivo ielezee zaidi hapa watu waelewe.
  4. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Swali zuri Luhuye, Linux ni jina la kitaalamu la huo mfumo. Na pia, sifundishi neno kwa neno kwa kiswahili ila kwa lugha rahisi kufikisha ujumbe kwa waswahili wote. Situmii maneno kama "napakua" wakati Watanzania wanaelewa kudownload. Wala kipaya wakati Watanzania wanaelewa mouse.
  5. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Habari wana jamii, Ninatoa elimu juu ya teknologia mbali mbali kwa kiswahili na hivi karibuni (jana) nimetoa HD video mpya ninayofundisha kuhusu Linux Operating system au Linux Distribution ndani ya dakika 7 tuu. Ningependa kupata maoni yenu na msaada wa kutazama na kusambaza zaidi ili elimu...
  6. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Habari, nimetoa high quality documentary nikielezea safari ya Operating system ya Linux toka kutengenezwa kwakwe mpaka matumizi yake ya sasa ambayo karibia kila unaemfaham ananufaika nayo bila kufahamu. Tafadhali subscribe, comment (hapa au YouTube) maoni yako na share kwa wadau wengine ili...
  7. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Habari wadau, nimetoa hii High Quality video documentary inayoweza kukutambulisha kuhusu Linux Operating system na Open source philosophy kwa kiswahili ili kuelimisha jamii juu ya Operating system hii ambayo watu wengi huisikia kwa juu juu. Nitakuwa natoa documentary videos na tutorials zaidi...
  8. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Nashukuru kupata uhitaji wako. Je wahitaji nikufundishe nini? Pia nakushauri ucheck hiyo video niliopost na kama ukivutiwa nayo, basi subscribe kwenye YouTube channel yangu ili kupata mafunzo zaidi. Kama utakua na suggestions za video au mapendekezo mengine utapost huko au hapa ili nijue...
  9. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Hi, Did you mean my career profile? If so, I'm a self taught fullstack universal apps developer and system administrator. Link to my website: Welcome To ArchNoob
  10. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Nashukuru dada yangu.
  11. Maotora

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyeona uhitaji wa mafunzo na elimu ya kawaida ya computer katika jamii yetu na technologia zake au TEHAMA. Nimeanza kutoa mafundisho ya kawaida YouTube bure na kwa lugha ya kiswahili, ili kueneza elimu hii vizuri kwa watu wote. Nimeanza...
Back
Top Bottom