Jamani kuna simu inauzwa na sister wangu anaumwa Tecno boom J7 bei yake ni laki moja na sabini(170000) ipo katika hali nzuri ina miezi mitatu toka itoke duka na kava sake zote mbili wasiliana na mimi kwa 0655918616
Jamani hawa jamaa ofisi zao sijawahi kuziona kwa wanaojua ofisi zao watusaidie popote pale ili tunaomba tuwe na uhakika nilishawahi kutapeliwa thats why nakua makini sana
Jamani hawa jamaa ofisi zao sijawahi kuziona kwa wanaojua ofisi zao watusaidie popote pale ili tunaoomba tuwe na uhakika nilishawahi kutapeliwa thats why nakua makini sana
Mhh!! hawa jamaa mpaka uwe na mtu humo au mtu kutoka taasisi inayohusiana na hao jamaa itakua rahisi kwako tofauti na hapo mh! Money talk au just try! (kwa ushauri uckate tamaa kabla haujajaribu) kuna wengine wana bahati ya kuzaliwa...
Mhh!! hawa jamaa mpaka uwe na mtu au taasisi inayohusiana na hao jamaa tofauti na hapo mh! just try! (ushauri uckate tamaa kabla haujajaribu) kuna wengine wana bahati ya kuzaliwa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.