Recent content by Manzile

  1. M

    JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Hii inawezekanaje? Alikuja na card au alitoa kwenye App?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Elon Musk na matarajio ya kusaidia vipofu kuona kuanzia mwaka 2026

    Daaah mwamba huyu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

    Kama huna Ramani hivi Huwa wanafanya utaratibu gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

    Hahaha, Amini wafia dini wengi watajiunga uchawini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Je ni heri kutoboa ujanani, ukubwani au uzeeni

    We nyumbani kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Je ni heri kutoboa ujanani, ukubwani au uzeeni

    Ukipata mafanikio ujanani ukiachana na Starehe, ukiweza kuvuka nguvu za husda, wivu, kurogwa, kusemwa vibaya utakuwa umetoboa. Maana siku hizi kila anaetoboa kijana anapakaziwa freemason au mchawi Na haya Huwa yanafanywa na ndugu wa karibu wanaojua namna ya kukushusha na kukuangamiza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza creti za soda na bia, kampuni zote

    Ndio kaka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza creti za soda na bia, kampuni zote

    Zina chupa zake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza creti za soda na bia, kampuni zote

    9000
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza creti za soda na bia, kampuni zote

    Wadau nabadilisha biashara, Niko Morogoro mkundi. NAUZA CRETI ziko nyingi za bisa na soda. Kama unahitaji tuwasiliane. +255 689 744 852
  11. M

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu ni Askari Magereza ?

    Yuko sahihi
Back
Top Bottom