Kuna kampuni inayoitwa ABM TANZANIA LIMITED ambayo imeingia mikataba wa kupima maeneo ya mashamba vijijini huko Bagamoyo ili kuzalisha viwanja vilivyo sajiliwa. Baada ya kupima mmiliki anachukua asilimia 60% na hiyo kampuni inachukua asilima 40% ya jumla ya ukubwa wa viwanja vinavyozalishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.