Kwa haya uliyoaandika, inaonyesha jinsi gani ulivyo mjinga. Baada ya Miaka 20 Rais atakae kuja na kuiacha hii nchi, definately ataacha nchi yenye shule nyingi, umeme, vyuo nk kuliko wale wa nyuma yake.
Kila siku haya mambo yanafanyika na kujengwa kwa kuwa population inaongezeka. Kumbuka kipindi...