Recent content by manumba malecha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya automatic gearbox

    Samahani wakuu kuna Hari automatic Toyota IST imeanza gafra kutokurudi rivers hapo tatizo linaweza kuwa ni nini kwenye gear box?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Zamajukumu mkuu samahani kuna gari imepata shida gafra ukirudisha rivers hairudi kabisa tatizo haswa ni nini? Gari ni ist
  3. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu kuna gari lina shida limeanza hivi juzi yaani kula mafuta mengi na kutoa moshi mwingi pia plugs zinawahi kuisha nguvu .pia ukibadilisha kutoka D kwenda R inakita sana au unapoongeza gia inakita hii imeanza baada ya kubadilisha control engine iliyokuwepo ni IMO sasa imewekwa ya kawaida .je...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Habarini za majukumu naomba kueleweshwa nanna ya kubadilisha rugha kwenye radio za gari za ist
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Samahani Jitulamilaba minne naomba kujuzwa jinsi yakubadili lugha kwenye redio za gari aina ya Toyota IST
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Lilianza taratibu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Kuna gari aina ya alteza imepoteza nguvu hata mlima mdogo halipandi cjajua ttzo nn tumepeleka garage wakasema libadilishwe plug, zikabadilishwa lakini ttzo bado lile naomba msaada mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Mkuu kuna gari aina ya alteza imepoteza nguvu cjajua ttzo nn tumepeleka garage wakasema tatizo ni plug wakabadilisha plug lakini ttzo bado lile hata mlima mdogo halipandi naombeni msaada
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    nami nielekeze nilipie
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Sawa kiongozi mi Nina ideal ya magari na napenda Sana kujua kwaundani zaidi kuhusu elimu ya engine na gearbox nifanyaje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Nashukuru Sana Kwa msaada wako samahani je una garage? Na kama unayo kama nikitaka kuja kujifunza zaidi kwako garama ya Ada ni shilingi ngapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Ahsanteni Sana Kwa majibu yenu mazuri hapo nimepewa kosa langu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Mkuu kuna gari Kila ikibadilishwa pump inakufa baada kama ya miezi minne Tu sasa tatizo hapo ni nini linalopelekea mpaka pump Kuwa inakufa mala Kwa mala?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Habari mkuu kuna tatizo kwenye gari tatizo lakula mafuta kuliko kawaida gari ni funcargo cc1290 Lita 1 inaenda kilometa nane lilibadilishwa plug nakuweka za sindano lakini tatizo bado liko palepale naombeni msaada haswa wa jinsi yaku solve Hilo tatizo
Back
Top Bottom