Uchaguzi wa brand huendana na kipato na uelewa. So ni kweli kwa Mtanzania wa kawaida muhimu ni dawa iliyopo. Pia hata jambo la afya ya kinywa sio issue kwetu. Kama hatuwezi kufanya check up ya mwili mpaka tuumwe then hatuwezi kuwa sensitive na afya ya kinywa. Hivo kumaanisha kuwa hata...
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na...
Sio kuwa weak market but lazima uwe realistic. Na usisahau kuna baadhi ya masoko ambayo kutokana na regulations zao huwezi kuingia labda kwa kununua benki iliyopo huko. Na pia kama nilivyosema mwanzo sehemu ya kwanza benki imeenda ni Burundi lazima ujifunze na kuona mafanikio yako kabla...
Hao unaosema mbona wamekuja wako kwenye position ipi kwenye soko? Mbona sio market leaders? Na unaelewa maana ya soko kuwa saturated au unaongea mradi na wewe uonekane umeongea? Tanzania watu 12.4% tu ndo ambao wamefikiwa na huduma za kibenki halafu unasema huku nako kuko saturated? Na je suala...
Nadhani unapaswa kuelewa kuwa ili mpaka ufungue tawi sehemu au biashara lazima ufanye feasibility study na kuona kama biashara hiyo itakulipa au vipi. Kwa nini Burundi? Hii ni nchi ambayo soko lake bado haliko saturated na inafanya biashara nyingi kupitia bandari ya Dar es Salaam. Hivo kuna...
Inasikitisha sana kuona kuwa bado Watanzania tuna safari ndefu kwenye matumizi ya mitandao kuwasilisha maoni yetu. Hivi mtu anaanza kwa kusema kuwa CRDB Bank ni most inefficient bank of the all time.
Hivi hii benki ambayo tangu ilipo binafsishwa imekua ikipata faida mfululizo hadi kufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.