Recent content by mansoury mohamedy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Mmhh hibalaa sasa ukilala nacte ukiamka nacte yaan tabu tubu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jaman kweli nacte mbona wanakuwa na udanganyifu jmn na pesa wamechukua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Huwezi kuchaguliwa mara mbili kama ulisha chaguliwa udom au 5 huwezi chaguliwa tena
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Yata toka pamoja na matokeo ya uraisi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Wadau tutulie kitu kina kuja soon
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya Mombasa na makabila yake

    Asanten kabila la wadigo ni moja kati ya makabila ya mijikenda
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya Mombasa na makabila yake

    Nimeona huyu faizafoxy na jahaz la ziwa niwataalam sana hilo neno mbari ndo maana yake au kuna ziada nyingine
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya Mombasa na makabila yake

    Asante shukran mimi nilijua majina
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya Mombasa na makabila yake

    Natoa shukuran kwa mm ni mdigo nimekulia mosh kilimanjaro hvy sijui lolote kuhusu kabila langu naomba kujua mila destur za kidigo na baadh ya maneno ya kiswahili kwa asili yake
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya Mombasa na makabila yake

    Nimependa historia kuna maneno mimi siyaelewi mfano hilo neno mbari
Back
Top Bottom