Recent content by Mansander

  1. M

    JamiiForums Tanzania Heche Ni Muongo Sana Anapokuwa Jukwaani akifikiria anaongea na Mbumbumbu. Amewadanganya Wananchi Kuwa Mlima Kilimanjaro ni Wa Pili Kwa Urefu Duniani

    Mlima Kilimanjaro ni wa kwanza kwa urefu duniani kwa mlima uliosimama peke yake - free standing.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    With all due respect, unakwepa swali. Nami naishia hapa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    Kwa hiyo utumishi wa umma wa wazazi wake ndiyo biashara? Huwezi kuwa billionaire kwa kazi ya kuajiriwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    Hiyo familia iliyokuwa inamsapoti inafanya biashara gani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe misaada?

    Ni lini kura ziliwahi kuwa na nguvu nchi hii?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Maandamano na harakati zimekuwa ni za Kuidai Tanganyika

    Kuna wakati Scotland walifanya referendum ya kutaka kujitenga na England after 300+ yrs ya muungano. Iko shida gani ya kufanya referendum ya huu muungano wetu. Wengi wakisema tunataka kuendelea hivi nani atakuwa na ubavu wa kupinga?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa 69% ya wakurugenzi wa wilaya bara ni kutoka Zanzibar

    Inawezekana hizi data zake siyo za kweli, lakini siwezi kuzi challenge kwa sababu sina mbadala. Wewe kwa sababu umemtaka awe mkweli - (yaani kasema uongo) - basi tuwekee data zako za ukweli hapa jamvini.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Maandamano na harakati zimekuwa ni za Kuidai Tanganyika

    Kama kupata usahihi wa jambo ni useless then usi - conlude jambo ambalo huna usahihi nalo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Mmeshuhudia siku tatu zile. Hakukuwa na harusi, kitchen party wala mikusanyiko kwenye mabaa. Zilikuwa siku tatu nzito

    Ni kweli kwamba baba/mama lishe ili wafanye shughuli zao kwa mafanikio lazima kuwepo na amani. Lakini kama mteja hatatenda haki kwa kumlipa baba/mama lishe ujira wake, amani haitakuwa na maana inayohubiriwa. Amani haiwezi kuduma bila haki.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Maandamano na harakati zimekuwa ni za Kuidai Tanganyika

    iitishwe kura huru na ya haki ndipo utajua hoa watanganyika wako wangapi!
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Profesa Kabudi: Tunafanya Uchaguzi Mkuu mwaka huu katika mazingira bora kuliko yote tangu tupate Uhuru

    Prof hata chembe ya aibu huna? Uchawa na shibe vinakupofusha hata unamkufuru Mungu? Kweli aliyeilaani Africa kafa!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sijasikia mtu yoyote akilalamika kuwa Dkt. Hussein Mwinyi hajapitishwa kihalali kugombea Urais Zanzibar, Watanganyika tuna nongwa sana!

    Zanzibar kwa katiba yao ni nchi kamili, hivyo yao watashughulika nayo wenyewe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

    Ushauri gani mkuu? Unakumbuka usemi wake kuwa yeye ni 'chura kiziwi'? Kiziwi hasikii labda umfinye sikio.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Wananchi wa TZ siyo waajiri wa rais, rais wa TZ ni tunda la tume yake ya uchaguzi.
Back
Top Bottom