Recent content by mansa

  1. mansa

    Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

    Kwani Lema yeye hawezi kufanya utafiti anasubiri tu vya kupewa au ndo mnavyo sema shule shida. mimi mgeni napita tu.
  2. mansa

    Mizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita (6)

    Kweli kuna haja mtu kusikia jambo, kulitafakari na akili za watu pamoja na kuchanganya na zako. ina maana alipwa pesa ndogo kuliko wabunge?
  3. mansa

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Kweli kufikia Maendeleo kuna stage na stege hii itaonyesha ukomavu wa siasa Ukweli utajulikana na Malipo ya Mwongo na Mkweli pia vitajulikana Dhambi ya Usaliti hulipwa hapa hapa Duniani.
  4. mansa

    Zitto alipuka tena bungeni

    Watanzania tukisema tuwaunge mkono wapigania raslimali ni mwaka mmoja tu mafanikio tutayaona but tatizo kila mpiganaji hapewi support, let join our hand and support Zitto for what he is doing.
Back
Top Bottom