Juha wewe unayebase kwenye mapato ya figure kwa mgawanyo wa terminologies!!!!
Watu wanaangalia maisha na.kipato at per! !!!!! Mzigo kwa jumla unaotinga nao home ndio kioato cha mwezi halisi no matter mgawanyo wa maneno na sources!!!!!
Au we ukienda dukani unaanza maeneno ya nipe sukari kwa pesa ya posho,sabuni kwa sitting allowance na ada ya mtoto unalipia outfit allowance!!!!!!!!Au ukipeleka mzigo bank kila fungu lina account yake?????!!!
Acha porojo wewe wanalamba mshiko zaid ya matumizi ya kipato cha kawaida cha mfanyakazi na hawataki kukubali hata kwa maneno tu!!!!!
Hayo mahesabu peleka hazina huko!!!!!
wake zao wanaifanyia nini nchi? Tujuzwe!
Mh. Zitto huwa hakurupuki na Mh. Pinda atalia tena bungeni.
Ndulu (BOT) analipwa 20m per month na hao ni watu wa kuteuliwa na rais sasa waache kutudanganya maana huo ni mshahara wa mtu wa IT TRA bila marupurupu wala rushwa. Wao wanaweza kujilipa hata m500 kwa wiki but slip wakaweka m6 nani asiyejua mambo ya Hazina ?
Tuliowahi kufanya kazi Hazina tunaelewa slip inawekwa shs laki 6 but marupurupu yanafika m2 bado safari,vikao vya menejimenti,tender board,overtime,vocha,housing allowance (hata kama unaishi kwenye nyumba yako) nk.
PINDA awe mkweli na kutokana na sera ya mikopo ya Benki kuu benki haziruhusiwi kumkata mtu more than 50% ya mshahara wake saas kama PInda amekopa CRDB na NMB je wamempa kiasi gani ambacho hawezi kukatwa zaidi ya m 1.5 ?
Kama mshahara wake ni mdogo na anaishi kwa kukopa kwenye vyombo vya kifedha(Mabenki) mfanyakazi wa kawaida na mkulima wanayo fursa hiyo? Kama anakopa benki anapozidiwa anawezaje kurejesha mikopo ya benki mbili kwa wakati? Pinda naye ni muongo maana hajui bei ya chakula, mboga, nauli, mafuta na mahitaji ya nyumbani, anakula analala tu.