Recent content by Mansa K

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    You can Win by Shiv Kera kiko bomba sana Ukiachana na Biblia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za usafirishaji wa bidhaa kwa basi

    Asante
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za usafirishaji wa bidhaa kwa basi

    Habarini Ndugu zangu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzingo usiozidi kg 2 kwa kutumia basi kutoka daresalam kwenda mikoani! Kutoka Dsm kwenda Arusha, Kilimanjaro, Morogoro, Dodoma nk.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biblia kwa Jicho Jingine

    Utamjua Mungu kwa kiwango cha hali yako ya kiroho. Hali yako ya kiroho imekuwezesha kufikia hatua hiyo ya kutaka kumjua Mungu zaidi, na hilo linathibitishwa na imani uliyonayo kuwa Mungu yupo japo unashindwa kumwelewa. Maswali yako kumi yana mantiki kabisa na majibu yake unayo. Shida inakuja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania 21 Ways to Achieve Wealthy and Success

    Awesome!
Back
Top Bottom