Recent content by Manoy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera

    Nakupongeza sana Mwl Pendo Matonange(Mrs Manoni,NJ) kuteuliwa kuwa Mkuu wa shule-Tinde Girls High School,MUNGU akubariki na akupe hekima,busara na maarifa ya kuongoza maana umekabiriwa changamoto nyingi,usifanye mambo bila kumshirikisha Mwenyezi MUNGU.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni wenyeji

    Ndo mara yangu ya kwanza najiunaga na JF,wenyeji mnipokee na mnipe taratibu za mtandao huu.Asanteni.
Back
Top Bottom