Recent content by Mannytimbwa

  1. Mannytimbwa

    Kampuni gani inakopesha pikipiki?

    Habari mkuu, pole kwa majukumu ila information yako nimeipenda so nilitakujua utaratibu wao upokei ili upate pkpk ya mkopo. Natunguliza shukran za dhati kwako
  2. Mannytimbwa

    INAUZWA Nauza Pikipiki Bei Ndogo sana

    Zakhem sehem gani mkuu
  3. Mannytimbwa

    Hii mambo ya kudukua SMS za mpenzi wako ni presha tupu

    Samahani sana mkuu najua unajua sana kuhusu hili la WhatsApp web naomba unielekekeze
  4. Mannytimbwa

    Demu Kaniacha Ghafla Bila Sababu?

    Thread inamegusa kweli 4 day past, imenitokea mpaka sasa namuwaza_cjui niliacha gari liende au nipande nicmame, nahic sina seat tena
  5. Mannytimbwa

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Sidhani kama hilo neno nimejaza maana nilikuwa nafanya testing kwa kuagiza kitu kidogo coz my first time
  6. Mannytimbwa

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Nimeagiza saa wamenipa track number ila cna sanduku la posta cjui nitapaje saa yangu na cjui itafikia wapi ili nifanye kama unaelewa zaidi nifaamishekuu
Back
Top Bottom