Samia alirithi ile kesi kama ulikua unaifatilia kesi ilifunguliwa mwezi wa 8 2020 ndipo ikaanza kutafutiwa watuhumiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe utakufa usitishie watu, swali ni hili: kwa nini mkiambiwa huyo bwana yenu alishakufa mnang'aka? Au hamkushuhudia mazishi baada ya maonyesho ya mzoga wiki nzima
Hivi ninyi watu mnajikuta kina nani kwa mfano? Yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwako unamlinganisha na mnyama?? Mnapata wapi mamlaka ya kuwafanyia wengine maamuzi?
Kwamba hatuwajui wahaya na kuuza miili au? Wakati ule ukimwi ukiwa tishio ni kabila gani lilipukutika kama kuku wenye kideri halafu mkiambiwa ukweli mnawatukania watu mama zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.