Kiwanja kinauzwa pugu mwakanga (karibu na steshen ya tazara-mwakanga, karibu na "kwa Pinda".
kilomita 3.5 kutoka makutano ya barabara ya pugu na chanika
ukubwa sqm 900
bei shilingi 15,000,000
eneo limepimwa, kina hati
hakuna dalali
serious buyer PM
Nyumba iko boko
Ukubwa - square meter 190 (4 bedrooms)
Mafundi watatu wameniambia kupiga plasta ni milioni 3.5 ikipungua sana 3
Mchanga na smenti gharama ya kununua haizidi milion 1, sasa labour charge mara 3 ya vifaa is it fair kweli? Uwezo wa kulipa hiyo hela ninao ila nataka maoni yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.