Anayetaka kiwanja

Mankumbi

New Member
Mar 11, 2016
2
1
Kiwanja kinauzwa pugu mwakanga (karibu na steshen ya tazara-mwakanga, karibu na "kwa Pinda".
kilomita 3.5 kutoka makutano ya barabara ya pugu na chanika
ukubwa sqm 900
bei shilingi 15,000,000
eneo limepimwa, kina hati
hakuna dalali
serious buyer PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom