usiwe na wasiwasi Innobwoy - nimesoma huko SA kwa muda mrefu na nikienda huko nii masuala ya kuattend conferences na research---so usiogope!!! ha ha ha ha!
wana jamii forum
Ningependa maoni yenu ni mfumo gani wa siasa hapa Tanzania utaweza kutumika ambao ungeweza kujenga msingi mzuri wa utoaji wa huduma za muhimu kama maji, umeme, elimu na afya? kwa mfumo tulionao - democratic approach through decentralisation umechangia sana kuua huduma muhimu na...
Wana jamii forums
Natoa angalizo kwa mchakato wa katiba mpya kuwa serikalii iangalie kama kuna uwezekanao wa kubadilisha mfumo wa kuchagua viongozi badala ya kupiga kura zoezi ambalo linatumia fedha nyingi sana ya walipa kodi labda tungeaza uaratibu wa "interview" kwa ngazi zote from udiwani to...
Ni juzijuzi tumefiwa na mfanyakazi mwenzetu kwa ajali ya gari na alipelekwa hospitali ya mkoa lakini ikashindikana akafariki.
Tatizo kubwa katika hospitali zetu ni vifaa duni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele na madaktari wetu kwa muda mrefu.
Baada ya nyongeza ya mishahara kwa walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.