Recent content by manka15

  1. manka15

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya familia ndogo inapangishwa Ubungo external near Mabibo hostel / Riverside

    Una picha unitumie?
  2. manka15

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hello doc, asante kwa hii thread. Naomba msaada nina mtt wa miaka miwili anakohoa wiki na zaidi sasa. Alipewa dawa ya kifua naona haijasaidia. Akapewa na ya minyoo baada ya kupimwa na kukutwa nayo ila bado anakohoa huku anaumia. Tukamrudisha tena akapewa antibiotics na dawa ya kifua...
  3. manka15

    JamiiForums Tanzania Natafuta mteja wa asali mbichi ya Tabora Mpanda

    Unauzaje
  4. manka15

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Vipi kuhusu hizi hisa za yetu microfinance zimetangazwa juzijuzi. Wanadai 2012 profit 500m mwaka unaofuata 1bn
  5. manka15

    JamiiForums Tanzania YETU MICROFINANCE to list on DSE

    Following
  6. manka15

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

    Nitumie picha 0712061124
  7. manka15

    JamiiForums Tanzania Nauza toyota raum ya 1999

    Una gari gani nyingine?
  8. manka15

    JamiiForums Tanzania Joint project ya kilimo

    Na mimi unicheki
  9. manka15

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Asante sna nami umenisaidia nilikuwa nasubiri jibu Barikiwa sn
  10. manka15

    JamiiForums Tanzania Come and Bank with us

    Hebu nisaidie hapa, nikiweka 5m napataje hiyo interest. Kila cku itakuwa inaingia tshngapi?
  11. manka15

    JamiiForums Tanzania Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Uliweka benki gani
  12. manka15

    JamiiForums Tanzania Ofa: Nakutengenezea google adsense ads kwa sh 40,000 tu

    Hivi hii google adscence unapataje hela?
  13. manka15

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy S4 LTE for sale

    Kuna samsung tab 3. Laki 4 na nusu kama unahitaji
  14. manka15

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy S4 LTE for sale

    Imeshauzwa mkuu
  15. manka15

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Hangers kwa bei ya jumla?

    Ulifanikiwa na mimi nahitaji nielekeze plz
Back
Top Bottom