Hbr natumai ni mzima wa afya hii post niya mda nafikili ulishawapata naka kazi itakuwailishafanyika ila kama ikitokea kazi nyingine plz usisite kunitafuta katka upande wa rangi na kuhusu upande wa bandalingi na board nikutoe hofu niko na kampan ya mafundi ninao waamini ambao nimeshawapeleka...
Upo sahihi mkuu maana makadilio ya kwenye picha ni tofaut na uwalisia ila tusiwavunje moyo wate acha tu waendelee kukutumia picha ili tuwape makadilia maana wengine huwa wanadhan gharama itakuwa kubwa zaid ndio maana anajalibu kuuliza kwa mafundi tofaut tofaut ili kujua service charge na...
Sio inalipa mkuu usichokielewa ni kwamba ww u naona hujawekeza chochote na unatengeneza pesa ila kumbukuka kunamda inakushukua mda gan mpaka kumpata mteja naizitoshe unakuwa haupo pekeyako mfana laki nane unaweza mkakuta mpo sita au wanne na unachokisahau ni ule mda unaopoteza kumsubili mteja...
Kaka utachoka ww sema inategemea kama boss hatokuepo basi unyama ni mwingi sema usiwe tu na tamaa mwanetu ww chakufanya kila kifaa utakacho uza unaongeza dusco tu mfa ndoo rangi silk inauzwa 17000 lita 20 inategemea na campuni ya rangi sasa ww ukiuza na 180000 mwisho 175000 siombaya unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.